Picha: Jokate Mwegelo akitalii nchini Uturuki #Kidoti

Mwanamitindo anaetamba na fashion brand ya ‘Kidoti’, Jokate Mwogelo ametupia mitandaoni picha kadhaa akiwa kwenye eneo linalofahamika kama Cappadocia,katikati ya nchi ya Uturuki.

jokate jokate2 jokate3 jokate4 jokate5 jokate6 jokate7

Cappadocia ni eneo linalofanana na jagwa,lina miamba mingi na milima ya kuvutia pia yakiwemo mapango ambayo zamani yalitumika na wakimbizi.