Picha: Kivazi hiki cha Vanessa Mdee chazua taharuki mitandaoni

Kupitia ukurasa wake wa instagram mwanadada Vanessa Mdee katuonyesha kivazi alichovaa kwenye show nchini Nigeria na kuandika caption hii…”Nisikie ng’weeeee TUPO KAZINI BEACH PARTY.”

vanessa_mdee vanessa_mdee2 vanessa_mdee3