Tag Archives: Agnes Masogange

Picha Chafu Zatibua Penzi la Agnes Masogange…!!

Picha Chafu Zatibua Penzi la Agnes Masogange…!!

Picha chafu zilizovuja zikimuonesha Video Queen wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ akiwa kihasarahasara na mwanaume anayesemekana ni msanii wa Bongo Fleva, Regnald Raymond ‘Reggy’ zimeibua hasira kwa mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa Bongo Muvi, Rammy Galis na kutishia kuvunja ...

Read More »
UKARIBU WA MASOGANGE NA KIDOA WAZUA SINTOFAHAMU…!!

UKARIBU WA MASOGANGE NA KIDOA WAZUA SINTOFAHAMU…!!

Video Queen nyota, Agnes Gerald maarufu kama Masogange anadaiwa kutaka kumharibu muuza nyago chipukizi Asha Salum ‘Kidoa’ baada ya wadau kutilia shaka ukaribu wao. Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, katika siku za hivi karibuni mabinti hao wamekuwa na urafiki ...

Read More »
AGNES MASOGANGE AONGELEA MPANGO WA KURUDI SHULE…!!

AGNES MASOGANGE AONGELEA MPANGO WA KURUDI SHULE…!!

Video Queen mwenye umbo linalowatoa uderee wanaume wengi hapa mjini Agnes Masogange, amefunguka kuwa anapenda kurudi shule ili kutimiza malengo yake zaidi. Alipokuwa akipiga stori mbili tatu na mwandishi wa DarTalk, mrembo Masogange kuulizwa ni elimu gani anayotaka kwenda kusoma,  alidai ...

Read More »
TUNDAMAN AMBADILI MASOGANGE

TUNDAMAN AMBADILI MASOGANGE

Khalid Ramadhan ‘Tundaman’. KIBAO cha Msambinungwa cha mkali wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tundaman’ kimegeuka mwiba kwa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ ambaye ameuza sura kupitia video ya wimbo huo, kwa sababu watu mitaani wameacha jina lake halisi na kumwita ...

Read More »