Tag Archives: Alikiba

Alikiba Live Perfomance in London at One Africa Music Fest 2017

Alikiba Live Perfomance in London at One Africa Music Fest 2017

Alikiba Live Perfomance in London at One Africa Music Fest 2017 The music festival featured the biggest stars in contemporary African music—Tiwa Savage, Jidenna, Cassper Nyovest, Davido, Olamide, Phyno, P-Square, Flavour, Sarkodie, Tekno, Falz the Bahd Guy, Victoria Kimani,Skales, Emma ...

Read More »
New Music: Navy Kenzo ft Alikiba – Lini

New Music: Navy Kenzo ft Alikiba – Lini

Navy Kenzo ft Alikiba the song is called “LINI”. A debut release from Navy Kenzo’s ‘Above In A Minute’ (AIM) album thats available for sale. Get your original copy for just 10,000 Tsh call +255 656 762 983

Read More »
“Nitampenda Dully mpaka kufa kwangu” – Alikiba

“Nitampenda Dully mpaka kufa kwangu” – Alikiba

Msanii wa bongo fleva Alikiba aliyeshinda tuzo tatu usiku wa EATV AWARD ikiwemo video bora ya mwaka, mwanamuziki bora wa mwaka na wimbo bora wa mwaka ameshukuru kukutana na Dully na kusema hana tatizo nae na kwamba anampenda sana. Akiongea ...

Read More »
Alikiba Afunguka Kuhusu Ugomvi wake na Hakeem 5…!!

Alikiba Afunguka Kuhusu Ugomvi wake na Hakeem 5…!!

Stori hii ilianza baada ya Abby Skills kusema Hakeem 5 lazima amuombe msamaha Alikiba ili wafanye kazi tena na mambo yake yaende sawa. Ali Kiba alisema “Kuhusu Hakeem 5, naweza kusema kwanza ni ndugu yangu kama Abby Skills na wengine. ...

Read More »
MTV EMA wampokonya tuzo Wizkid na kumpa Alikiba aliyestahili…!!

MTV EMA wampokonya tuzo Wizkid na kumpa Alikiba aliyestahili…!!

Katika hatua ambayo imewafurahisha mashabiki wengi wa muziki nchini, MTV EMA wampokonya tuzo ya Best African Act na Worldwide Act, Wizkid na kumpa Alikiba ambaye aliestahili kushinda. Siku chache zilizopita, kulitokea sintofahamu baada ya Wizkid kutangazwa mshindi ilhali kwenye website ...

Read More »
Music Video: Ommy Dimpoz x Alikiba – Kajiandae

Music Video: Ommy Dimpoz x Alikiba – Kajiandae

Ommy Dimpoz and Alikiba release KAJIANDAE a pure Tanzanian love ballad singing about dating a woman and the romance- chilvary is not dead. This is the second collaboration of Ommy Dimpoz and Alikiba after four years. Alikiba is under a ...

Read More »