Tag Archives: AY

TIGO YAPINGA KUWALIPA AY, MWANAFA SH2 BILIONI…!!

TIGO YAPINGA KUWALIPA AY, MWANAFA SH2 BILIONI…!!

Kampuni ya simu ya MIC Tanzania (Tigo) imekata rufaa kupinga hukumu iliyoamuru iwalipe Sh2 bilioni wanamuziki wawili, Ambwene Yesaya na Hamisi Mwinjuma kutokana na kutumia bila ya ridhaa yao, nyimbo za wasanii hao nyota nchini. Yesaya, ambaye ni maarufu kwa ...

Read More »