Tag Archives: Baraka Da Prince

Baraka The Prince kuja na ‘Record Label’ yake

Baraka The Prince kuja na ‘Record Label’ yake

Msanii Baraka The Prince ambaye kwa sasa yupo chini ya lebo kubwa ya muziki Afrika ya Rock Star, ametangaza ujio wa recording lebel yake, itakayosimamia kazi za wasanii wengine. Akizungumza kwenye kipindi cha 5SELEKT ya East Africa Television, Baraka aliulizwa ...

Read More »
New Music: Barakah The Prince ft Alikiba – Nisamehe

New Music: Barakah The Prince ft Alikiba – Nisamehe

Baraka The Prince ameungana na wasanii wengine wa Kitanzania waliosainiwa na label ya Rockstar 4000. Msanii huyu anayechipukia kwa kasi atakuwa miongoni mwa wasanii wachache ambao watakuwepo kwenye tour ya Fiesta mwaka huu (2016). Habari iliyopo ni Kwamba, msanii huyu ...

Read More »
Mr. Blue, Barakah Da’ Prince Wapatana…!!

Mr. Blue, Barakah Da’ Prince Wapatana…!!

BAADA ya kutibuana kisa kikiwa Naj, hatimaye wakali wa Bongo Fleva, Mr Blue na Barakah Da’ Prince wameamua kuwa kitu kimoja. Wawili hao walipatana saa chache kabla ya kufanyika Tamasha la Fiesta Shinyanga ambapo walikuwa wameenda kutembelea maporomoko ya Maji ...

Read More »
NAJ WA BARAKA DA PRINCE AMSHANGAA GIGY…!!

NAJ WA BARAKA DA PRINCE AMSHANGAA GIGY…!!

Msanii wa Bongo Fleva, Najma Datan ‘Naj‘ anamshangaa Video Vixen Gift Stanford Gigy Money kwa kudai kuwa alimpigia simu, kisa wivu kwa mpenzi wake, Baraka Da Prince wakati hamjui yeye wala namba yake. Video Vixen Gift Stanford ‘Gigy Money’ Akichonga na ...

Read More »