Tag Archives: Barnaba

LuluDiva aanika alichokifanya chumbani na Barnaba…!!

LuluDiva aanika alichokifanya chumbani na Barnaba…!!

Mwanadada ambaye ameingia kwa kasi ya aina yake kwenye game ya bongo fleva, Lulu Diva, amevunja ukimya na kufunguka kuhusu skendo za yeye kulala chumba kimoja na msanii Barnaba Classic, walipokuwa wamekwenda kufanya video nchini Afrika Kusini. Akifunguka kwa watanzania ...

Read More »
Music Video: Barnaba – Lover Boy

Music Video: Barnaba – Lover Boy

Tazama kichupa cha sukari mpya ya Barnaba Classic hitmaker kutokea studios za High Table Sound “Lover Boy”.Video imefanyika nchini Tanzania na South Africa, chini ya director Msafiri wa Kwetu Studios

Read More »