Tag Archive | "Becka Title"

08 December 2012

MSANII wa muziki wa kizazi Becka Title, amesema kuwa anatarajia kuachia video ya ngoma ya ‘Say Yeah’, muda wowote kwa kuwa ipo kwenye hatua za mwisho kumalizika.

Becka alisema kuwa baada ya kutoa audio ya ngoma hiyo hakupanga kuachia video mwaka huu lakini kutokana na simu anazopigiwa na mashabiki wake ameamua kufanya hivyo ili kuwapa kile wanachokihitaji wadau [...]

27 September 2012

MSANII wa muziki wa kizazi kipya bongo Becka Title, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nilisema’, ambayo kafanya na wasanii wawili Felly Kano na Pinda Bwai kutoka studio ya Masanjuo chini ya producer Kona.

Alisema kuwa baada ya kwenda hewani audio hiyo atakuwa katika maandalizi ya video yake hivyo anaamini kwa sasa mashabiki wake [...]

14 September 2012

MSANII wa muziki wa kizazi kipya bongo Becka Title, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa hivi karibuni video ya ngoma yake ya ‘Say Yeah’, itakuwa sokoni na mashabiki wake wataweza kuiona kichupa hicho chenye kiwango cha hali ya hjuu.

Wimbo huo umeimbwa kwa ajili ya kumbembeleza mwanamke ili aweze kukubali baada ya kumlilia kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote, ingawa pia [...]

17 March 2012

MSANII ndani ya kiwanda cha bongo fleva, Becka Title, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nipe Nafasi’, ambayo itatoka hivi karibuni. Becka alisema kuwa wimbo huo utaonesha njinsi gani anavyolilia mapenzi kwa mwanamke ambaye anampenda kwa dhati.

Alisema kuwa hata hivyo ngoma hiyo itakuwa sambamba na video yake [...]

09 January 2012

MSANII wa muziki wa bongo Fleva Becka Title, amesema anatarajia kusafiri Ijumaa ya wiki hii kwenda Nairobi, Kenya kwa ajili ya kufanya ngoma yake mpya ambayo jina lake bado halijawekwa wazi ili iwe zawadi kwa mashabiki.

DarTalk iliripoti habari za kusafiri kwa msanii huyo wiki chache zilizopita ingawa hatukuweka wazi siku ambayo atasafiri kuelekea nchini humo.

Akizungumza [...]

17 December 2011

RAPA wa kibao cha ‘Mpita Njia’ kutoa katika studio za Kiri Records ‘Becka Title’, amesema anataraji kwenda Nairobi Kenya, kwa ajili ya kurekondi ngoma yake mpya ambayo bado hajaipa jina huku akiamini inaweza kumfungulia njia zaidi ya mafanikio.

Becka Title kwa mara ya kwanza alifanya kazi katika studio za ‘KGT’ mwaka 2006 huku akifanya ngoma ya iliyokwenda kwa jina [...]

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!