Tag Archives: BIll Nas

Dayna Nyange Akana Kutoka Na Bill Nas…!!

Dayna Nyange Akana Kutoka Na Bill Nas…!!

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amemfungukia staa wa Hip Hop Bongo, Bill Nas kuwa hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi unaoendelea kati yao zaidi ya kazi ya kimuziki. Akichonga na paparazi, Dayna anayebamba na Ngoma ya ...

Read More »
BILLNAS ATUMA WATU KUOMBA MASAMAHA KWA TID…!!

BILLNAS ATUMA WATU KUOMBA MASAMAHA KWA TID…!!

Kuna vita vikali vya maneno kati ya TID na aliyekuwa kijana wake, Billnass. Katika mahojiano mengi aliyofanya, Mnyama anaonekana kukerwa na kitendo cha rapper huyo wa Chafu Pozi kuondoka kinyemela Radar Entertainment – label iliyomtoa. Anaamini kuwa Bill ni mtu ...

Read More »
“BILL NAS NI CHAWA TU” – TID MNYAMA…!!

“BILL NAS NI CHAWA TU” – TID MNYAMA…!!

Msanii TID amefunguka na kuonyesha kukereka na kitendo cha msanii Bill Nas ambaye sasa anatamba na ngoma yake ya ‘Chafu pozi’ kusema kuwa amehama Label ya Radar Entertainment ambayo ipo chini ya TID. TID amesema hayo kupitia kipindi cha Planet ...

Read More »
NEW MUSIC: BILL NAS – CHAFU POZI

NEW MUSIC: BILL NAS – CHAFU POZI

Sikiliza ngoma mpya ‘Chafu Pozi’ kutoka kwa mkali wa michano Bill Nas kutoka Radar Entertainment, hitmaker wa ngoma ‘Raha’ na ‘Ligi Ndogo’ ambazo bado zinafanya vizuri kwenye chati mbalimbali za radio na TV.

Read More »