Tag Archives: Bongo Movies

Bodi ya Filamu Yakanusha Kuzuia Filamu za kigeni

Bodi ya Filamu Yakanusha Kuzuia Filamu za kigeni

Dar es Salaam. Bodi ya Filamu Tanzania, imekanusha taarifa zilizosambaa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa Serikali inazuia kwa makusudi uingizaji,usambazaji na uuzwaji wa filamu za kigeni nchini. Madai ya taarifa hiyo ni kwamba Serikali ina lengo ...

Read More »
Licha ya Kudai Kumrudia Mungu, Sabby Aendelea ‘kujirusha’

Licha ya Kudai Kumrudia Mungu, Sabby Aendelea ‘kujirusha’

MSANII wa Bongo Movies Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ ambaye siku chache zilizopita alitangaza kustaafu sanaa na kuamua kumrudia Mungu, ameon-ekana kulegalega msimamo wake huo baada ya kuonekana kwenye kumbi za starehe akila bata. Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo karibu ...

Read More »
Maadui Johari, Nora Wapatana, Wapanga Kurudi Kwa kasi

Maadui Johari, Nora Wapatana, Wapanga Kurudi Kwa kasi

Mastaa wakongwe nchini, Nuru Nassoro, maarufu kama Norah, pamoja na staa mwenzie blandina chagula (Johari) sasa hivi mambo yamekua shwari baada ya bifu la muda mrefu kati yao. Chanzo cha bifu Lao ilikua ni mapenzi pamoja na shutuma za kurogana ...

Read More »
“KWA NINAYOYAONA, SITAMANI NDOA” – MARY MAWIGI…!!

“KWA NINAYOYAONA, SITAMANI NDOA” – MARY MAWIGI…!!

MSANII wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi amesema kuwa tofauti na wanawake wengine wanaotamani ndoa, yeye hafi kirii kabisa suala hilo kutokana na jinsi anavyoona baadhi ya wanawake wanavyolia na kujuta kuolewa. Akipiga stori na paparazi, Mary alisema kuwa huenda ...

Read More »
Jack Wolper Adaiwa Kunasa Ujauzito Wa Harmonize…!!

Jack Wolper Adaiwa Kunasa Ujauzito Wa Harmonize…!!

Habari ya mjini! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe, anadaiwa kunasa ujauzito wa mwandani wake ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ hivyo yupo mbioni kutimiza ndoto yake ya kupata mtoto hivi karibuni. Habari za uhakika ...

Read More »
IMEVUJA..WEMA SEPETU NA PETITMAN NDANI YA BIFU

IMEVUJA..WEMA SEPETU NA PETITMAN NDANI YA BIFU

Imevuja! Urafiki wa muda mrefu wa muigizaji nyota, Wema Sepetu na mshika kamera wake, Petit Man umeingia dosari baada ya kudaiwa kuwa wawili hao wako ndani ya bifu. Chanzo makini kililonga na paparazi kuwa Wema na Petit ambao hapo awali ...

Read More »
JACKLINE WOLPER ATAJA AINA ZA MAHUSIANO YA MAPENZI HAPA MJINI…!!

JACKLINE WOLPER ATAJA AINA ZA MAHUSIANO YA MAPENZI HAPA MJINI…!!

Kupitia mtandao wa Instagram, msanii mahiri wa Bongo Movies, Jackline Wolper ameandika aina kadhaa za mahusiano ya mapenzi hapa mjini sikuhizi. Soma alichokiandika… “Today nataka kuongelea mahusiano especially now na hizi baridi.. But seriously relations zimekua topic kubwa na nataka kutoa ...

Read More »
WAZIRI NAPE ATAJA MAJIPU MANNE KATIKA SANAA NCHINI…!!

WAZIRI NAPE ATAJA MAJIPU MANNE KATIKA SANAA NCHINI…!!

Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na michezo nchini, Nape Nnauye ametaja mambo manne ambayo ni vikwazo ndani ya sekta ya sanaa ya filamu nchini na kuyaita kwamba ni majipu huku akisisistiza kwamba serikali itakwenda kutunga sera ya sekta hiyo katika mwaka ...

Read More »
“SINA HARAKA YA KUFUNGA NDOA” – MONALISA…!!

“SINA HARAKA YA KUFUNGA NDOA” – MONALISA…!!

Staa wa filamu toka kitambo ambaye kwa sasa ni mtangazaji, Monalisa, amedai kuwa hana haraka ya kufunga ndoa au kujinadi kuwa na mume kwani maisha yake hayaendeshwi na mapenzi. Monalisa ambaye amekuwa ni staa asiye na skendo, alisema kuwa maisha ...

Read More »
NDOA YA RAYUU YAVUNJIKA NDANI YA WIKI MOJA…!!

NDOA YA RAYUU YAVUNJIKA NDANI YA WIKI MOJA…!!

Baada ya kutamba kuwa tayari amepata mume wa maisha, mambo yameharibika msanii wa filamu Rayuu, kwani sasa hatoki nje wale hapokei simu za shoga zake. Wiki moja iliyopita msanii huyo aliiteka mitandao ya kijamii hasa instagram, kwa picha zake za ...

Read More »
DOKII AONGELEA MAISHA YAKE BAADA YA KUOKOKA…!!

DOKII AONGELEA MAISHA YAKE BAADA YA KUOKOKA…!!

Msanii wa maigizo na muziki Dokii, amesimulia namna alivyoumia kwa kusemwa na baadhi ya wachungaji, pamoja na waimbaji wa nyimbo za injili kwa kumuhisi kuwa ameokoka kwa lengo la kutafuta hela. Dokii alitafutwa na mwandishi wa DarTalk, kuulizwa juu ya ...

Read More »
MSANII TIKO ACHUMBIWA RASMI, NDOA KUFUNGWA MUDA WOWOTE…!!

MSANII TIKO ACHUMBIWA RASMI, NDOA KUFUNGWA MUDA WOWOTE…!!

Mrembo anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Tiko Hassan, tayari mambo yameiva baada ya kuchumbiwa na ndoa inatarajia kufungwa muda wowote. Tiko akilonga na mwandishi wa DarTalk, alisema muda wowote ataitwa mke. “Sitaki kufunga ndoa kwa mbwembwe kama akina nani ...

Read More »