
Madam Ritha akikata utepe katika uzinduzi rasmi wa EBSS House jana jioni.
Madam Ritha, Chief Judge akifungua mlango wa EBSS house rasmi baada ya sherehe ya uzinduzi kuanza.
Madam Ritha akiwatembeza viongozi wa Zantel ndani ya nyumba.
Madam Ritha akiwaonyesha wageni nyumba (Uongozi wa Zantel).
Washiriki walioingia Top 12 kwa pamoja wakiwakaribisha wageni baada ya mlango kufunguliwa.
Baadhi ya washiriki [...]
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Etisalat, Ahmed Mokhles akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kampuni yao kudhamini shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search, kulia kwake ni mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions, Rita Poulsen.
Shindano la BSS mwaka huu litajulikana kama ‘Epiq Bongo Star Search 2012’ ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi [...]