
CANDY – CHANINI
[Audio clip: view full post to listen]
Studio ya Pamoja Records imeachia single mpya ya yule mwanadada candy ambaye mwezi mmoja uliopita aliachia ngoma yake inayokwenda kwa jina nimpende milele ikiwa chini ya Most Records.
Leo hii Pamoja Records imeachia single ya mwanadada huyo inayokwenda kwa jina la “Chanini”, candy msanii ambaye licha ya uimbaji [...]
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Hellen David (Candy California) ambaye alikuwa miongoni kwa washiriki katika kinyang`anyiro cha kumsaka mshindi wa “Tikisa 2011” na kutolewa katika hatua za mwisho za shindano lile, ameachia Track yake mpya inayoitwa “Nimpende Milele” chini ya kampuni ya Most Record & Production ya jijini dar es salaam. Hellen au kwa jina la kisanii anaitwa “Candy California” [...]