
MSANII wa filamu aliyekulia katika kundi la Sanaa la Kaole, Halima Yahaya ‘Davina’, amesema kuwa mipango na mikakati aliyojiwekea ni kufanya kazi na chupikizi kwani anaamini wanauwewzo mkubwa kuliko hata wastaa ambao hubebwa na majina yao.
Msanii huyo alisema wapo vijana wengi wenye uwezo katika tasnia hiyo lakini kitu kinachowakwamisha ni njia ya kutoka hadi kutimiza malengo yao.
“Inakuwa ni [...]