Tag Archives: Diamond Platnumz

Manaiki Sanga alivyoshikiwa panga na Diamond Platnumz…!!

Manaiki Sanga alivyoshikiwa panga na Diamond Platnumz…!!

Ilitokea lakini haikuandikwa! Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aliwahi kumshikia panga msanii wa filamu za Kibongo, Manaiki Sanga ikiwa ni baada ya kuombwa kufanya naye kolabo na kuchikichia fedha zake, Risasi Jumamosi lina habari kamili. MANAIKI AVUJISHA MCHAPO ...

Read More »