Tag Archives: Diamond

ALI KIBA, DIAMOND PLATNUMZ KIMENUKA HATARI…!!

ALI KIBA, DIAMOND PLATNUMZ KIMENUKA HATARI…!!

Kimenuka! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mafahari wawili wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kutupiana vijembe vya kufa mtu baada ya kuwepo kwa madai ya Kiba kuhujumiwa. Kwa mujibu wa chanzo makini, ili ...

Read More »
MAMA WEMA AKESHA AKIOMBA ‘DIAMOND’ AFUMANIWE…!!

MAMA WEMA AKESHA AKIOMBA ‘DIAMOND’ AFUMANIWE…!!

Akizungumza na mapaparazi wetu juzikati jijini Dar es Salaam, mama Wema alisema: “Najua kwa sasa sina tena mamlaka ya kuingilia mapenzi ya binti yangu kwani mambo hayo yamenichosha, yananiumiza na kichwa.” “Lakini naomba sana kwa Mungu itokee siku moja Wema amfumanie ...

Read More »
‘DIAMOND’ AMTANGAZA ‘WEMA SEPETU’ KUWA NI MCHUMBA WAKE…!!

‘DIAMOND’ AMTANGAZA ‘WEMA SEPETU’ KUWA NI MCHUMBA WAKE…!!

Tukio hilo lilitokea  juzi  pale Leaders Club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo. Kwenye hiyo show, Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”? Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ‘ukimwona’ akasema: ...

Read More »
‘DIAMOND’ AMPA MAKAVU ALIYEVUJISHA NGOMA YA ‘NIKIFA KESHO’…!!

‘DIAMOND’ AMPA MAKAVU ALIYEVUJISHA NGOMA YA ‘NIKIFA KESHO’…!!

Kupitia website yake ya thisisdiamond.com mkali wa Bongo Flava, Diamond Platnumz alipost maneno haya… “Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala Kunidhuru chochote… Sanasana utanizidishia Umaarufu na kunipa Show zaidi… Kama nimeacha kurecord nyimbo Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine ...

Read More »