
Mrembo Wema Sepepu aliyefanya mahojiano kwa njia ya simu na Zamaradi Mketema kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM kwenye segment ya Muvi Leo amekanusha uvumi ulioenea mitaani kuwa ameachana na mpenzi wake Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.