
MSANII wa filamu bongo, Dino(pichani), ameongea na mtandao wa DarTalk, na kusema kuwa anatarajia kuipeleka sokoni kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘The Suspect’ yani ‘mtuhumiwa’, huku ikiwa na mastaa kibao.
Dino aliwataja baadhi ya wasanii hao kuwa Amanda, Swebe, Frank na wengine kibao.
Hata hivyo alisema kuwa filamu hiyo itakuwa inahusu maiti ya dada mmoja [...]