Tag Archive | "Extra Bongo"

19 July 2011

BENDI ya Extra Bongo kwa mara nyingine tena imeibomoa The African Stars ‘Twanga Pepeta’ baada ya kumnyakua mnenguaji wake mahiri Aisha Madinda, ambapo mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki alimtambulisha Madinda kwa waandishi wa Habari.

Choki alisema Madinda amejiunga na Extra kwa matakwa yake mwenyewe , na tayari ameshaanza  mazoezi na bendi hiyo wiki mbili [...]

30 June 2011

BENDI ya muziki wa dansi yenye maskani yake jijini Dar es Salaam ya Extra Bongo”Next Level” imesema imemuongeza mwimbaji na mtunzi mahiri wa muziki huo, Ramadhani Massanja maarufu kama Banza stone katika kikosi chake kutokana na kuwa na uwezo mkubwa kimuziki.

Alisema kutokana na hilo bendi yake ikafikia uamuzi wa kumchukua mwimbaji huyo kwa nia ya kuongeza nguvu kwa bendi [...]

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!