Tag Archive | "Flaviana Matata Foundation"

20 May 2012

Mwanamitindo mahiri wa kimataifa Flaviana Matata ambae in founder wa Flaviana Matata Foundation (FMF) amekuja nchini akitokea nchini U.S.A ambako ndiko anapoishi  kwa sasa mahsusi kwa ya ajili ya kugawa msaada wa vifaa vya kuokolea maisha majini (Life Vests)  ikiwa ni miaka 16 tangu meli ya MV Bukoba izame ambapo mama yake mzazi alifariki kwenye ajali hiyo, [...]

01 June 2011

Mwanamitindo Flaviana Matata akisoma hotuba wakati wa uzinduzi wa taasisi yake ya kusaidia jamii iliyo kwenye matatizo itakayofahamika kama Flaviana Matata Foundation. Flaviana amesungua taasisi hiyo kumuenzi mama yake mzazi aliyekufa kwenye ajali ya MV Bukoba. Uzinduzi huo ulifanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar.

PICHA ZOTE NA MICHUZI BLOG

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!