Tag Archives: Harmonize

Picha: Harmonize afunguka juu ya tattoo yake mpya…!!

Picha: Harmonize afunguka juu ya tattoo yake mpya…!!

Akipiga story ndani ya eNEWZ amesema “labda ni mapenzi ya dhati na kuamua kubadilisha muonekano kwani nilivyokuwa ni tofauti siku zinasogea na na vitu vinakuwa tofauti kwakuwa sisi vijana tunakuwa na matamanio kama nilivyotamani kuchora picha ya bi mkubwa”. Tattoo ...

Read More »
New Music: Dully Sykes Ft Harmonize – Inde

New Music: Dully Sykes Ft Harmonize – Inde

Sikiliza sukari mpya kutoka kwa muasisi wa muziki wa bongo flava nchini Tanzania Prince Dully Sykes – Inde, kamshirikisha msanii kutoka WCB, Harmonize. Ngoma imefanyika Wasafi Records chini ya producer Laizer. Dully msanii asiyepitwa na muda ni miongoni mwa wabana pua ...

Read More »
“NI LAZIMA NIMZALIE HARMONIZE” – JACKLINE WOLPER…!!

“NI LAZIMA NIMZALIE HARMONIZE” – JACKLINE WOLPER…!!

MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema.. “lazima nimzalie Harmonize kwa kuwa nimeridhika naye.” Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ...

Read More »
PHOTO: HII NDIO GARI MPYA YA ‘HARMO MAPENZI’…!!

PHOTO: HII NDIO GARI MPYA YA ‘HARMO MAPENZI’…!!

Hard work pays huh! Msanii chipukizi hitmaker wa ‘Aiyola’ na ‘Bado’ kutoka WCB, Harmonize, Harmo Mapenzi, ameposti mtandaoni gari yake mpya aina ya Toyota Mark X na kuweka caption hii… Nichukue Fursa Fupi Kuushukuru Uongozi Wangu Mzima Wa @wcb_wasafi @mkubwafella ...

Read More »
VIDEO: RAYMOND – KWETU COVER PHOTO SHOOT

VIDEO: RAYMOND – KWETU COVER PHOTO SHOOT

Tazama behind the scene ya utengenaji wa song cover photo ya ngoma inayoitwa ‘Kwetu’ ya msanii chpukizi kutoka WCB Wasafi, Raymond ‘Vanilla’. Mchakato wa kupiga picha umefanyika chini ya mpigapicha Kifesi chini ya usimamizi wa Ricardo Momo. For Bookings contact ...

Read More »