Tag Archives: Harmorapa

“Sijaona wa kumlinganisha na Alikiba” – Harmorapa

“Sijaona wa kumlinganisha na Alikiba” – Harmorapa

Rapa ambaye amejizolea umaarufu sana kupitia mitandao ya kijamii Harmorapa amefunguka na kusema kwa Tanzania hii hajaona msanii wa kumfananisha na Alikiba na kusema hata ngoma yake ambayo amefanya na Juma Nature alitaka kufanya na Alikiba. Harmorapa anasema kabla ya ...

Read More »