Tag Archives: Jackline Wolper

KAMBI YA LOWASSA YAMFUNGUKIA JACKLINE WOLPER…!!

KAMBI YA LOWASSA YAMFUNGUKIA JACKLINE WOLPER…!!

Kambi ya aliyekuwa Mgombea Urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa tiketi ya Chadema, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa imemfungukia muigizaji wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper, siku chache tu baada ya kutangaza kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini ...

Read More »
Jack Wolper Adaiwa Kunasa Ujauzito Wa Harmonize…!!

Jack Wolper Adaiwa Kunasa Ujauzito Wa Harmonize…!!

Habari ya mjini! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe, anadaiwa kunasa ujauzito wa mwandani wake ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ hivyo yupo mbioni kutimiza ndoto yake ya kupata mtoto hivi karibuni. Habari za uhakika ...

Read More »
JACKLINE WOLPER AZUA TAFRANI PETROL STATION MAENEO YA TEGETA…!!

JACKLINE WOLPER AZUA TAFRANI PETROL STATION MAENEO YA TEGETA…!!

Chupuchupu! Mwanadada anayeng’ara kunako tasnia ya filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, juzikati almanusra apigwe risasi kwenye kituo kimoja cha mafuta kilichopo Tegeta (jina linahifadhiwa) jijini Dar es Salaam, baada ya kuibuka kwa timbwili zito eneo hilo, Risasi Mchanganyiko linakupa mkasa ...

Read More »
“NI LAZIMA NIMZALIE HARMONIZE” – JACKLINE WOLPER…!!

“NI LAZIMA NIMZALIE HARMONIZE” – JACKLINE WOLPER…!!

MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema.. “lazima nimzalie Harmonize kwa kuwa nimeridhika naye.” Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ...

Read More »
JACKLINE WOLPER ATAJA AINA ZA MAHUSIANO YA MAPENZI HAPA MJINI…!!

JACKLINE WOLPER ATAJA AINA ZA MAHUSIANO YA MAPENZI HAPA MJINI…!!

Kupitia mtandao wa Instagram, msanii mahiri wa Bongo Movies, Jackline Wolper ameandika aina kadhaa za mahusiano ya mapenzi hapa mjini sikuhizi. Soma alichokiandika… “Today nataka kuongelea mahusiano especially now na hizi baridi.. But seriously relations zimekua topic kubwa na nataka kutoa ...

Read More »
‘JACKLINE WOLPER’ AMTAMBULISHA MCHUMBA MPYA…!!

‘JACKLINE WOLPER’ AMTAMBULISHA MCHUMBA MPYA…!!

STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kumuweka bayana mchumba wake wa sasa anayejulikana kwa jina la G. Modo baada ya kukaa kimya muda mrefu tangu alipoachana na Abdallah Mtoro ‘Dallas’. Akizungumza na mwandishi hivi karibuni, Wolper alisema alikuwa kimya ...

Read More »