Tag Archives: Jokate

Jokate amezungumza kuhusu uteuzi wake ndani ya UVCCM

Jokate amezungumza kuhusu uteuzi wake ndani ya UVCCM

Siku chache zilizopita Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ‘UVCCM’ kupitia kwa Kamati ya Utekelezaji ulifanya utezi wa Wakuu wa Idara mbalimbali za Makao Makuu ambapo mmoja wa walioteuliwa ni mwanamitindo Jokate Mwegelo. Jokate ameteuliwa kuwa Kaimu Katibu wa ...

Read More »
Picha: Jokate Mwegelo akitalii nchini Uturuki #Kidoti

Picha: Jokate Mwegelo akitalii nchini Uturuki #Kidoti

Mwanamitindo anaetamba na fashion brand ya ‘Kidoti’, Jokate Mwogelo ametupia mitandaoni picha kadhaa akiwa kwenye eneo linalofahamika kama Cappadocia,katikati ya nchi ya Uturuki. Cappadocia ni eneo linalofanana na jagwa,lina miamba mingi na milima ya kuvutia pia yakiwemo mapango ambayo zamani ...

Read More »
JOKATE NA SIRI YA MWANAUME ANAYEMTESA…!!

JOKATE NA SIRI YA MWANAUME ANAYEMTESA…!!

DIVA anayefanya vizuri kwenye tasnia ya urembo na mitindo Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa ‘drama’ zinazoendelea kuhusu uhusiano wake wa kimapenzi nyingi hazina ukweli na ukweli anao moyoni. Akipiga stori na mwandishi hivi karibuni, Jokate alikiri kuwa ana mpenzi ambaye ...

Read More »