Tag Archive | "Kalapina"

27 March 2011

MSANII anayetokea pande za Block 41 Kalapina alipiga show ya kufa mtu siku ya uzinduzi wa album yake inayoitwa “Maisha Yangu Nyimbo Tosha”. Uzinduzi huo ulisindikizwa na Madee, B.D.P, Back T kutoka Rwanda, Kimya kutoka Kenya, AY, Mwana FA, Godzilla, na wengine kibao.

More pics below..

09 March 2011

———–
Karama Masoud
maarufu kama KALAPINA anatarajia kuzindua album yake itakayokwenda kwa jina Maisha Yangu Nyimbo Tosha. Uzinduzi huo utafanyika NEW CLUB MAISHA tarehe 27 March 2011.
————-

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!