Tag Archives: Lady Jay Dee

“Ndoa isiyo na afya haifai” – Lady Jay Dee

“Ndoa isiyo na afya haifai” – Lady Jay Dee

Msanii wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee amefunguka na kusema wanawake wengi wanaogopa kuanza maisha mapya ya mahusiano kwani wengi wao wanashindwa kuondoka kwenye ndoa zao ambazo hazina afya. Lady Jaydee alisema hayo kupitia kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa ...

Read More »
Music Video: Lady Jaydee – Sawa Na Wao

Music Video: Lady Jaydee – Sawa Na Wao

‘Sawa Na Wao’ is all about life, love, relationships and portraits life through the lens of a relationship and some of those temptations distractions that often disrupts or destroy those relationships. Lady Jaydee’s next smash hit release through her worldwide ...

Read More »
MUSIC VIDEO: LADY JAY DEE – NDI NDI NDI

MUSIC VIDEO: LADY JAY DEE – NDI NDI NDI

Malkia wa Bongo Flava Lady JayDee ameachia video ya ‘Ndi Ndi Ndi’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa shauku kubwa ndani na nje ya Tanzania. Video imefanyika South Africa chini ya director mahiri Justin Campos wa Gorilla Films

Read More »
KESI YA ‘LADY JAY DEE’ YAPIGWA KALENDA HADI AGOSTI 2…!!

KESI YA ‘LADY JAY DEE’ YAPIGWA KALENDA HADI AGOSTI 2…!!

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, leo imeiaharisha kesi inayomkabili msanii wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee a.k.a Anaconda dhidi ya uongozi wa Clouds Media Group hadi Agosti 2, mwaka huu. Kesi hiyo ya madai iliyopo mbele ya Hakimu Athumani Nyamlani, leo ililetwa kwa ajili ...

Read More »