Tag Archives: Linah

Ni Kweli Linah Ameiba Mume Wa Mtu? Msikilize Hapa…!!

Ni Kweli Linah Ameiba Mume Wa Mtu? Msikilize Hapa…!!

Shilawadu bhana sio watu wa mchezomchezo kabisa.. Walizinyaka picha za anaetajwa kua ni mpenzi wa mwanamuziki Linah Sanga akimvisha pete ya uchumba mwanamke mwingine.. Hawakuishia hapo.. Wakaamua kuzisambaza mtandaoni bwana… Ohoooooooooooo… Umbea si ukamfikia Mhariri Mkuu wa Gazeti La Makorokocho, ...

Read More »
LINAH NA UJIO WA WIMBO MPYA ‘SAMAKI’…!!

LINAH NA UJIO WA WIMBO MPYA ‘SAMAKI’…!!

Linah amedai kuwa wimbo mpya anaotaka kuutoa huo utakaoitwa Samaki na ni wimbo ambao ameamua kufanya remix ya wimbo wa Galatone. Baada ya mengi kuzungumzwa na zilizo chini ni kuwa Linah na Billnass ni wapenzi wa siri na hawataki kuweka ...

Read More »
LINAH SANGA AFIKISHA MASHABIKI MILIONI 1 INSTAGRAM…!!

LINAH SANGA AFIKISHA MASHABIKI MILIONI 1 INSTAGRAM…!!

Msanii wa mzuiki wa kizazi kipya Linah Sanga, anazidi kupiga hatua ya kusaka zaidi mashabiki ambapo sasa amefikisha mashabiki milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram. Akipiga stori na mwandishi wa DarTalk hitmaker huyo wa ngoma ‘Ole Temba’, amedai kuwa hii ni ...

Read More »
MUSIC VIDEO: LINAH – MALKIA WA NGUVU

MUSIC VIDEO: LINAH – MALKIA WA NGUVU

Kama sehemu ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani msanii Linah almaarufu kama Ndege Mnana ameachia nyimbo maalum inayoitwa ‘Malkia wa Nguvu’, Video imetayarishwa na director Khalfani.

Read More »
MSANII ‘LINAH’ AKANA TETESI KUWA NI MJAMZITO…!!

MSANII ‘LINAH’ AKANA TETESI KUWA NI MJAMZITO…!!

Muimbaji wa THT, Linah Sanga amesema tetesi za kuwa ni mjamzito si za kweli. Linah amedai kuwa masuala ya ujauzito, kuolewa na kuwa na familia ni ya muhimu kwa kila msichana lakini kwa sasa bado hajaweza kuvifanya hivyo. “Hakuna kitu kama ...

Read More »
MSANII ‘LINAH’ AKANUSHA MADAI YA KUBAKWA USIKU BAADA YA KULEWA…!!

MSANII ‘LINAH’ AKANUSHA MADAI YA KUBAKWA USIKU BAADA YA KULEWA…!!

Mrembo na mwanamuziki wa kike nchini, Linah Sanga amezikanusha ripoti zilizosambazwa leo kuwa amebakwa na rapper Kimbunga na kudai kuwa ameshangazwa mno na taarifa hizo. Taarifa hizo zimeanza kusambazwa leo mchana baada ya akaunti ya Facebook inayoonekana kuwa ya rapper Kalapina yenye jina ‘KalApina Kikosi Cha ...

Read More »