Tag Archive | "Lisa Jensen"

21 August 2012

Lisa akizungumza na viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania, kutoka kushoto, Katibu Mkuu, Bosco Majaliwa, Mrembo Amisa Hassan, Mkurugenzi Hashim Lundenga na Ofisa Habari wa Kamati, Haidan Rico.

Mrembo Lisa Jensen ambaye ni Miss World Tanzania 2012 amerejea jijini Dar es Salaam leo akitokea nchini China alipokwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya Dunia mwaka huu na [...]

18 July 2012

Miss World Tanzania 2012, Lisa Jensen akipunga mkono wakati akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akielekea nchini China kushiriki shindano la Miss World 2012. Lisa anaiwakilisha Tanzania katika shindano hilo.

Lisa akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga (hayupo [...]

17 June 2012

Redd’s Miss World Tanzania, Lisa Jensen (katikati) akivishwa taji hilo na Miss Tanzania, Salha Israel katika hafla fupi iliyomalizika kwenye kiota kipya cha maraha cha 327, Mikocheni jijini Dar. Kulia ni mshindi wa tatu kwenye kinyang’anyiro hicho, Pendo Laizer.

Tano bora

Washiriki wote. (Image Credit: Michuzi)

20 December 2011

MWANADADA aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na kushika nafasi ya 3 Lisa Jensen, amefunguka na kusema kuwa anaipenda fani ya mitindo kuliko kitu kingine chochote katika maisha yake ingawa anafanya filamu kwa sasa.

Kipaji chake cha filamu kilianza kuonekana katika kazi kama ‘More than Pain’, ‘Full moon’, ‘Fake Pastors’ na nyingine ambazo zote zilimuweza katika [...]

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!