Tag Archives: Lulu

Lulu Atokwa Povu Bethidei Yake Kubuma

Lulu Atokwa Povu Bethidei Yake Kubuma

Kweli utawala wa awamu ya tano kiboko! Tofauti na miaka iliyopita ambapo mastaa mbalimbali hufanya kufuru katika kusherehekea kumbukumbu ya siku zao za kuzaliwa, Jumapili iliyopita, ambayo ilikuwa ni bethidei ya staa wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’, lakini haikufanyika. Chanzo ...

Read More »
MIMI NA MAMA KANUMBA TUPO VIZURI – LULU…!!

MIMI NA MAMA KANUMBA TUPO VIZURI – LULU…!!

STORI zilivuma na bado vuguvugu linaendelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu uhusiano wa staa wa kike katika filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama Kanumba, Flora Mtegoa kuwa siyo mzuri kama zamani. Watoa habari wa mjini, wanadai kuwa ...

Read More »
“SINA BWANA NIGERIA JAMANI” – LULU…!!

“SINA BWANA NIGERIA JAMANI” – LULU…!!

Baada ya fununu kuwa mshindi wa tuzo ya Africa Magic Viewer’s Choice Awards, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ana mabwana Nigeria, ameamua kufunguka na kudai kuwa hakwenda nchini humo kwa ajili ya kufanya mapenzi. Mwandishi wa DarTalk, hakuwa nyuma katika ishu hiyo, ambapo ulimtafuta ...

Read More »