
Mwenyekiti wa Chama cha Wanamuziki Tanzania (Tanzania Flava Unit), Mwana FA (katikati) akizungumza na waandishi wa habari juu ya uzinduzi wa video yao mpya inayohusiana na sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania, mkutano huu ulifanyika Leaders Club jijini Dar. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho, TID, na kushoto ni Mjumbe wa [...]
UTENGENEZAJI wa video ya wimbo unaozungumzia miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika umeanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikiwemo Uwanja wa Taifa, Kituo cha Utamaduni cha Watu wa Urusi na kwingineko.
Wimbo huo umetayarishwa na Marco Chali wa Mj Records na Lamar wa Fish Crab, kazi ya video inafanywa na [...]