Tag Archives: Miss Tanzania

Serikali Yasema Haya Kuhusu Miss Tanzania…!!

Serikali Yasema Haya Kuhusu Miss Tanzania…!!

November 14, 2016 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye alikutana na waandishi wa habari kuzungumza masuala mbalimbali ya michezo ikiwemo matatizo yaliyotatuliwa kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2016. Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Waziri Nape aliyasema ...

Read More »
Miss Ilala 2016 @ Hyatt Regency – 9th Sept

Miss Ilala 2016 @ Hyatt Regency – 9th Sept

Baada ya Jihan Dimachk Miss Ilala 2014-2015, Je Nani Atampokea Taji Hilo 2016.. Kwa Kiingilio Cha Tsh 100,000 Kwa Viti Maalum Na Tsh 50,000 Viti Vya Kawaida Utaamshuhudia Malkia Mpya Wa Ilala..wakisindikizwa Na Burudani Mbalimbali

Read More »
MSHINDI WA MISS TABATA 2016 HUYU HAPA…!!

MSHINDI WA MISS TABATA 2016 HUYU HAPA…!!

WIKI iliyopita mrembo Grace Malikita alishinda Taji la Miss Tabata mwaka 2016 kwa kuwapiga chini warembo 15 wengine, huku nafasi ya pili akishika Nasra Munna na nafasi ya tatu ikinyakuliwa na Mariam Maabadi. Shindano hilo lililofanyika Ukumbi wa Dar West ...

Read More »