Tag Archive | "Mo Racka"

11 January 2012

MSANII wa ngoma ‘Kama changu Ntapata’, alichokitoa mwishoni mwa mwaka jana, Mo Racka amesema kuwa wimbo huo umeweza kufanya vizuri sokoni na kumletea mafanikio makubwa sambamba na kumpa shoo sehemu mbalimbali.

Alisema kazi hiyo aliifanya kwa ubunifu mkubwa uliomchukua zaidi ya miezi sita katika kuutengeneza na ndiyo maana umeweza kuleta mafanikio makubwa.

Alisema hata hivyo anaamini ataendelea [...]

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!