Tag Archives: Music

MUSIC: REMMY WILLIAMS – AFRICA

MUSIC: REMMY WILLIAMS – AFRICA

Anaitwa Remmy williams mtanzania anayefanya mziki nchini Italy amefanya nyimbo akiwashirikisha wasanii wa hapa King Ruston, Moses Thomas & Mirror Rhymes. Nyimbo inaitwa ‘Africa’, imefanyika katika studio za Overclassic, video imefanywa na kampuni ya Emedia katika viunga vya Mwanza

Read More »
MUSIC: MZUNGU KICHAA – TWENDE KAZI

MUSIC: MZUNGU KICHAA – TWENDE KAZI

MZUNGU KICHAA RELEASES ‘TWENDE KAZI’ Mzungu Kichaa releases his first Swahili single since his award winning debut album Tuko Pamoja. The single titled ‘TWENDE KAZI’ (Let’s Work) is from his EP ‘HUSTLE’ which was released on the 12.12.12. Mzungu Kichaa ...

Read More »
MUSIC: AMA G – ALOLE

MUSIC: AMA G – ALOLE

Ngoma mpya kabisa toka kwa Ama G anaewakilisha poa toka Rock City, amedai ngoma hii ni story ya kweli inayomhusu star wa Bongo Movie na muziki aliyeamua kuachana na kipenzi chake baada ya kujipatia umaarufu, mlengwa aliamua kuonana na Ama G na kumpa ...

Read More »