Tag Archives: Nay Wa Mitego

Nay wa Mitego akubali yaishe… aomba msamaha

Nay wa Mitego akubali yaishe… aomba msamaha

Baada ya kuporomoshewa maneno ya kashfa kwenye mitandao na mzazi mwenzake kwa kushindwa kumtunza mtoto zaidi ya kumuweka tuu kwenye mitandao ya kijamii na kujisifu, Nay wa mitego amekiri kubadilika na kuanza kumuhudumia binti yake. Nay wa Miteho leo Rapa ...

Read More »
Madee ajibu mashambulizi ya Nay wa Mitego

Madee ajibu mashambulizi ya Nay wa Mitego

Msanii wa Bongo fleva kutoka kitaa cha Manzese ambaye ndiye anayetambulika kama Rais wa Manzese, Madee, amemchana mwenzake kutoka kitaa hicho, Nay wa Mitego kwamba hana uwezo wowote kweny muziki Madee ndani ya FNL Madee akiwa kwenye kipindi cha FNL ...

Read More »
Utajiri wa Nay, Umaskini wa Mr. T-Touch…!!

Utajiri wa Nay, Umaskini wa Mr. T-Touch…!!

IKIWA humfahamu kwa sura mkali wa midundo Bongo, Thabith Mango ‘Mr. T-Touch’ ni lazima utakuwa unafahamu kazi zake hata kwa kuzisikia tu zikichezwa kwenye vituo mbalimbali vya redio au mitaani. Producer Mr T Touch Baadhi ya kazi hizo ni Muziki ...

Read More »
Ney Aonyesha Jeuri, Aja Na Video 4 Za Wimbo Mmoja…!!

Ney Aonyesha Jeuri, Aja Na Video 4 Za Wimbo Mmoja…!!

Msanii Ney wa Mitego amesema ana mpango wa kutoa video nne tofauti tofauti za wimbo mmoja wa ‘Pale kati Patamu‘, ambao ulimletea balaa hivi karibuni kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) ambalo limeufungia. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East ...

Read More »