Tag Archives: Nuh Mziwanda

Nuh Mziwanda Adaiwa Kupora Demu Wa Mtu…!!

Nuh Mziwanda Adaiwa Kupora Demu Wa Mtu…!!

Ubuyu wa mjini unanyetisha kuwa, mkali wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Jike Shupa aliomshirikisha Ali Kiba, Natfal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, anadaiwa kupora demu wa jamaa ambaye naye ni msanii wa wa Bongo Fleva, Valentino Michael ‘Vale wel’. ...

Read More »
Kisa Kipigo, Nuh Akodi Bodigadi

Kisa Kipigo, Nuh Akodi Bodigadi

KUFUATIA kuwepo madai kuwa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda kutishiwa kupewa kichapo na mijemba inayodaiwa ilitumwa na aliyekuwa mpenzi wake Shilole, hatimaye Nuh aamua kukodi bodigadi wa kumlinda. Nuh alionekana akiwa na bodigadi huyo kwenye Tamasha la Mwendokasi lililofanyika ...

Read More »
NUH MZIWANDA AJICHORA TATTOO YA MPENZI WAKE MPYA…!!

NUH MZIWANDA AJICHORA TATTOO YA MPENZI WAKE MPYA…!!

Nuh Mziwanda baada ya kumpata mpenzi mpya amejikuta amerudia alilofanya kwa Shilole la kujichora tattoo mkononi ya jina la mpenzi wake huyo mpya.. Nuh Amesema huyu wa sasa amekuja na gia kubwa sana kiasa anaamini anampenda kwa dhati, amempa sifa ...

Read More »
NUH MZIWANDA AMWAGANA NA MPENZI WAKE MPYA…!!

NUH MZIWANDA AMWAGANA NA MPENZI WAKE MPYA…!!

MKALI wa Bongo Fleva, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amefunguka kuwa, amemmwaga mpenzi wake aitwaye Erah Erah licha ya kwamba penzi lao lilitawaliwa na mbwembwe nyingi. Akipiga stori na paparazi wetu kuhusiana na maendeleo ya penzi lao, Nuh alifunguka kuwa demu ...

Read More »