JANJARO FT PNC – MAISHA YA SKONGA
[Audio clip: view full post to listen]
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
WAKATI msanii PNC kutoka Mtanashati Entertainment akiendelea kufanya poa na ngoma yake inayokwenda kwa jina la ‘Imebuma’, sasa ameweka wazi kuwa hatoi kazi yoyote badala yake anakazia mzingo mpya wa Dogo Janja, ambao utakuwa unahusu maisha ya muziki na shule ambao bado hawajaupa jina.
PNC alizungumza na mwandishi wa mtandao wa DarTalk, na kueleza kuwa pamoja yote ngoma yake [...]
PNC – IMEBUMA
[Audio clip: view full post to listen]
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
KIGWEMA FT PNC – KWENYE GAZETI
[Audio clip: view full post to listen]
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
DOGO JANJA FT PNC – YA MOYONI
[Audio clip: view full post to listen]
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
MSANII wa muziki wa bongo fleva PNC, amezungumza na DarTalk na kueleza kuwa anatarajia kuigia katika filamu ambapo sasa yupo katika mchakato wa kutafuta wasanii watakaoshiriki katika kazi yake ambayo hadi sasa bado hajaipa jina.
Msanii huyo alisema amekuwa akitazama filamu za wasanii mbalimbali hapa nchi akiwemo Kanumba na kusema kuwa nyota huyo ndiye aliyemvuta hadi [...]