Tag Archives: Raymond

MUSIC VIDEO: RAYMOND – KWETU

MUSIC VIDEO: RAYMOND – KWETU

Tazama video ya msanii chipukizi Raymond au unaweza kumuita Raymond Vanilla kwa kifupi RayVanny. Baada ya kufanya vizuri na audio ya ngoma ‘Kwetu’ sasa amedondosha chupa lake lililofanyika Tanzania chini ya Godfather Productions. Huyu anakua ni msanii wa pili kutolewa ...

Read More »
VIDEO: RAYMOND – KWETU COVER PHOTO SHOOT

VIDEO: RAYMOND – KWETU COVER PHOTO SHOOT

Tazama behind the scene ya utengenaji wa song cover photo ya ngoma inayoitwa ‘Kwetu’ ya msanii chpukizi kutoka WCB Wasafi, Raymond ‘Vanilla’. Mchakato wa kupiga picha umefanyika chini ya mpigapicha Kifesi chini ya usimamizi wa Ricardo Momo. For Bookings contact ...

Read More »