Tag Archive | "RJ Company"

09 July 2011

MUONGAZAJI na muigizaji nyota katika tasnia ya filamu hapa nchini Vicent Kigosi (Ray The Greatest) kupitia kampuni ya RJ Company ametambulisha vipaji vipya katika filamu zake mbili kali za Unpredictable na What is it?, kampuni hii mahiri katika kuibua vipaji na kutoa mchango mkubwa katika maendeleo ya tasnia hii ya filamu nchini, inawaleta wasanii wawili [...]

30 June 2011

Ile Filamu inayokwenda kwa jina la “What Is It” sasa ipo tayari na muda wowote inaweza kuchomoka. Kwa mujibu wa taarifa za mwanzo kabisa kuhusu mzigo huu ambao unaeleza kisa kizima cha wanawake wajawazito na waume zao unasubiriwa kwa hamu kubwa sana na wadau wa filamu nchini.

Ray na Skyner wakiwa kwenye scene

Mwanadada Skyner aliyetingisha kwenye “Second [...]

Page 1 of 11

SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!