Tag Archives: Ruby

Music Video: Wakazi x Ruby – Sijutii Remix

Music Video: Wakazi x Ruby – Sijutii Remix

This is the Official music video of one of the best collaborations of 2016. Sijutii Remix by Ruby & Wakazi was produced by Ema The Boy (additional production by Mujwahuki). The video was shot in Dar es salaam, Tanzania by ...

Read More »
RUBY APANGUA KAULI YA SAIDI FELLA…!!

RUBY APANGUA KAULI YA SAIDI FELLA…!!

Akiongea na Planet bongo ya East Africa Radio Ruby amesema Yamoto Band hawakuona umuhimu wake kwenye video hiyo ndiyo maana waliweza kushoot video hiyo siku ambayo yeye alikuwa busy na mambo yake mengine, na kusema kutokana na wao kutaka video ...

Read More »
“NAOGOPA KUMUANIKA MPENZI WANGU” – RUBY…!!

“NAOGOPA KUMUANIKA MPENZI WANGU” – RUBY…!!

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayefanya poa, Hellen George ‘Ruby’ amesema kati ya vitu anavyoogopa duniani ni pamoja na kumuanika mwandani wake hadharani. Akipiga stori na mwandishi mwanadada hitmaker wa ‘Na Yule’, alisema kuwa wanaume wengi wanakuwa katika uhusiano ...

Read More »
NEW MUSIC: CHEMICAL – FOREVER [COVER]

NEW MUSIC: CHEMICAL – FOREVER [COVER]

Sikiliza track hii mpya ya rapper Chemical, ambayo ni cover ya wimbo ‘Forever’ wa Ruby, rapper huyu kaichakaza kiroho mbaya beat hii. Track imepikwa katika studio za Kazi Kwanza chini ya producer Max Mizer.

Read More »
NEW MUSIC: WAKAZI & RUBY – SIJUTII [REMIX]

NEW MUSIC: WAKAZI & RUBY – SIJUTII [REMIX]

This is the remix of “Sijutii” by Ruby which features the rapper Wakazi. After the original had made a buzz in the streets, Wakazi hops on the track and adds a Hip Hop flavor to the plate of the already nicely served ...

Read More »
RUBY AWAPA MAKAVU WANAOMFANANISHA NA WASANII WENGINE…!!

RUBY AWAPA MAKAVU WANAOMFANANISHA NA WASANII WENGINE…!!

Msanii chipukizi hitmaker wa ngoma ‘Na Yule’,Ruby amefunguka na kusema kuwa haitaji kufananishwa na msanii yeyote bali anajifananisha na nafsi yake na ndiyo maana anafanya muziki wa aina yake. Ruby alisema kuwa wasanii wengi wamekuwa wakijifananisha na mastaa wakubwa wa ...

Read More »