Tag Archives: Shilole

Milioni 20 Zamtoka Shilole Eti Kisa Mgahawa Wake Tu

Milioni 20 Zamtoka Shilole Eti Kisa Mgahawa Wake Tu

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, amesema kwa sasa amewekeza kiasi cha Sh milioni 20 kwenye mgahawa wake. Shilole amesema kwamba, anashukuru Mungu kuona biashara yake hiyo inakuwa kila kukicha na kutoa ajira kwa vijana wenzake. Alisema ...

Read More »
Snura Afunguka Jinsi Anavyomtamani Leo Kesho Shilole…!!

Snura Afunguka Jinsi Anavyomtamani Leo Kesho Shilole…!!

MWANADADA anayetamba na ngoma ya ‘Shindu’ Mwaga Maji Tucheze Kama Kambare, Snura Mushi (pichani) ameeleza kiu yake ya kutaka kufanya kazi na mwanadada mwenzake Zuwena Mohammed ‘Shilole’ endapo atakuwa tayari. Snura amebainisha hayo usiku wa Jumanne, Januari 24, 2017 wakati ...

Read More »
Jay Moe Afunguka Kutoka Kimapenzi Na Shilole…!!

Jay Moe Afunguka Kutoka Kimapenzi Na Shilole…!!

Mwanamuziki rapa nchini anayetikisa kwa ngoma ya ‘Pesa Madafu’, Jay Moe amekuwa akionekana karibu sana na rapa Bilnass ambaye anatikisa na ngoma ya ‘Chafu Pozi’ kitu ambacho ni njia pekee ya Jay Moe kumpata mrembo Shilole. Baada ya kuwepo kwa ...

Read More »
Huyu Ndiye Mrithi Wa Nuh Kwa Shishi…!!

Huyu Ndiye Mrithi Wa Nuh Kwa Shishi…!!

STAA anayebeba fani mbili kwa mpigo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, juzikati alimwanika bwana’ake mpya huku akijinadi kuwa ndiye mrithi halali wa aliyekuwa mpenzi wake wa kitambo, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’. Akizungumza na mwandishi hivi karibuni baada ya kubambwa kwenye Ukumbi wa ...

Read More »
SHILOLE KUTAFUTA MUME KIJIJINI…!!

SHILOLE KUTAFUTA MUME KIJIJINI…!!

MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta hivyo anajipanga kwenda kijijini kwao Igunga,Tabora kutafuta mume. Akilonga na mwandishi, Shilole alisema kuwa, hataki tena kujichosha akili kwa wanaume wa ...

Read More »
JOTI TV: EPISODE 9 BIFU LA SHILOLE NA DADA KIBOGA

JOTI TV: EPISODE 9 BIFU LA SHILOLE NA DADA KIBOGA

Shughuli inaanza pale unapotafuta utata na mtoto wa Igunga a.k.a Shishi Baby a.k.a Shilole, angalia hii ya Dada Kiboga akifanya yake anapomwashia moto Shishi Baby. Starring Joti & Shilole Directed by Eddy Musiba Edited by Ommy Mgazza Crew: Gabriel Baraka, ...

Read More »
SHILOLE ALIA NA WASANII WENZAKE KUMDHALILISHA…!!

SHILOLE ALIA NA WASANII WENZAKE KUMDHALILISHA…!!

Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameonesha masikitiko yake kufuatia madai ya kudhalilishwa na baadhi ya wasanii wenzake kwa kuipa promo video ya wimbo mpya wa zilipendwa wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ wa Jike Shupa. Kwa mujibu ...

Read More »