Tag Archives: Snura

Snura Ajipanga Kumuanika Laazizi Wake

Snura Ajipanga Kumuanika Laazizi Wake

DAR ES SALAAM: Staa wa mduara Bongo, Snura Mushi ‘Snusexy’ amefunguka kuwa, baada ya ukimya wa muda mrefu na kuzushiwa kila mwanaume, sasa anajipanga kumuanika laazizi wake ili watu wamtambue kwani usumbufu umekuwa ‘too much’. Snura aliliambia Wikienda kuwa, ishu ...

Read More »
Snura Afunguka Jinsi Anavyomtamani Leo Kesho Shilole…!!

Snura Afunguka Jinsi Anavyomtamani Leo Kesho Shilole…!!

MWANADADA anayetamba na ngoma ya ‘Shindu’ Mwaga Maji Tucheze Kama Kambare, Snura Mushi (pichani) ameeleza kiu yake ya kutaka kufanya kazi na mwanadada mwenzake Zuwena Mohammed ‘Shilole’ endapo atakuwa tayari. Snura amebainisha hayo usiku wa Jumanne, Januari 24, 2017 wakati ...

Read More »
SNURA KUJA NA MUZIKI WA ASILI…!!

SNURA KUJA NA MUZIKI WA ASILI…!!

Baada ya kufanya vizuri kwenye Bongo Movies na muziki wa kumwaga mauno, Snura Mushi, ameibuka na kudai muziki wa asili unaweza kumtoa zaidi. Snura akipiga story na mwandishi wa DarTalk alisema kuwa akiwa kama msanii anaweza  kufanya aina yoyote ya muziki, ...

Read More »