Tag Archives: WCB

Diamond Amtusi Wastara…ishu Nzima Hii Hapa…!!

Diamond Amtusi Wastara…ishu Nzima Hii Hapa…!!

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anadaiwa kumtusi staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma baada ya kumuomba msanii wake akarekodie katika studio zake za Wasafi Classic Baby (WCB). Tukio hilo lililopigwa chabo na chanzo chetu lilijiri wikiendi ...

Read More »
PHOTO: HII NDIO GARI MPYA YA ‘HARMO MAPENZI’…!!

PHOTO: HII NDIO GARI MPYA YA ‘HARMO MAPENZI’…!!

Hard work pays huh! Msanii chipukizi hitmaker wa ‘Aiyola’ na ‘Bado’ kutoka WCB, Harmonize, Harmo Mapenzi, ameposti mtandaoni gari yake mpya aina ya Toyota Mark X na kuweka caption hii… Nichukue Fursa Fupi Kuushukuru Uongozi Wangu Mzima Wa @wcb_wasafi @mkubwafella ...

Read More »
“NIPO TAYARI KUFANYA KAZI NA ALIKIBA” – MENEJA SALLAM SK…!!

“NIPO TAYARI KUFANYA KAZI NA ALIKIBA” – MENEJA SALLAM SK…!!

Meneja wa Diamond, Sallam Sharaff yupo tayari kumsimamia Alikiba iwapo akitaka iwe hivyo. Akiongea kwenye mahojiano na gazeti la Champion, Sallam alisema: ”Sina tatizo kabisa, akitaka tufanye kazi nitamweleza mahitaji yangu akikubali tutafanya kazi. Nilishawahi kukutana na Kiba, Nairobi, alinifuata akaomba ...

Read More »