
MWIGIZAJI Mahiri wa filamu Wema Abraham Sepetu ndiye msanii anayelipwa fedha nyingi kuliko msanii yoyote wa filamu katika kushiriki katika filamu kutoka kwa watayarishaji wengine ili uweze kumshirikisha Wema Sepetu katika filamu yako kama mwigizaji bila kujali anacheza scene ngapi gharama yake ni milioni kumi.
Wema ambaye kwa sasa anamiliki kampuni yake ya utengenezaji wa filamu [...]
SHIRIKISHO la Filamu Tanzania (TAFF) limempongeza msanii wa kike Wema Sepetu kwa moyo wa upendo aliouonyesha kwa msanii mwenzie Kajala Masanja kwa kumlipia faini ya sh. milioni 13 alizotozwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na kupatikana na hatia katika kesi ya utakatishaji fedha iliyokuwa inamkabili mahakamani hapo
Akizungumza kwa niaba ya viongozi wengine rais [...]
CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake.
Kupitia mtandao wa Instagram, Miss Tanzania huyo wa zamani, ame-share picha akiwa kwenye clinic ya meno kung’oa jino lililokuwa likimsumbua. “Apparently I have 8 cavities….. oh god… does this mean [...]
Msanii wa bongo movie Wema Sepetu siku chache baada kuzindua ofisi za kufungua kampuni yake mpya Endless Fame Films, Leo kupitia katika ukurasa wake wa twitter ametangaza nafasi za kazi mbalimbali…tuma CV katika e mail yake hii hapa..endlessfameproduction@gmail.com
KATIKA hali isiyo ya kawaida ya kutozea maisha ya kijijini, msanii asiyeishiwa matukio, Wema Sepetu, hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuwakumbutia wazee wa kijijini baada ya kukimbia panzi, pindi walipokuwa katika ziara ya uzinduzi wa mpango wa Kilimo Kwanza kwa vijana eneo la Kwandelo, Kondoa.
Hali hiyo ilimtokea mara kwa mara na hakuwa na njia nyingine [...]
BAADA ya mwaka jana kuishia kwa matatizo makubwa msanii wa filamu anayesikika sana bongo kwa skendo Wema Sepetu, ameanza mwaka kwa kuonesha sehemu za mwili wake kama tumbo na kitovu, ambapo ameweka picha hizo kwenye mtandao wa instagram huku bado haijajulikana lengo lilikuwa ni nini.
Hata hivyo picha hizo zinamuonesha akiwa kwenye hisia kali ya mahaba, [...]