Tag Archives: Young D

“Situmii Dawa za Kutunisha Misuli” – Young Dee

“Situmii Dawa za Kutunisha Misuli” – Young Dee

Msanii wa hip hop nchini Paka Rapa (Young Dee) amesema hatumii dawa zozote za kukuza misuli yake na mwili wake bali anafanya mazoezi kila siku na bado hajafikia katika kiwango ambacho anataka kufikia. Hata hivyo akiongea kupitia eNewz, Young Dee ...

Read More »
Mrembo Tunda Afunguka Kumwagana Na Rapper Young D…!!

Mrembo Tunda Afunguka Kumwagana Na Rapper Young D…!!

MUUZA nyago macha-chari Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kumwagana na mwandani wake wa muda mrefu, ambaye ni staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ na kusema ameamua kujiweka kando kwenye maswala ya mapenzi. Akipiga stori na paparazi baada ya kumbananisha ...

Read More »

PHOTOS: PICHA HIZI ALIZOPOST YOUNG D ZAZUA GUMZO MTANDAONI…!!

Manamuziki Young D maarufu kama Paka Rapper amezua utata mtandaoni baada ya kupost picha amemshika kalio mwanadada mrembo anayefahamika kama PV Cambo. Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki wa Paka Rapper @victoriae851 wewe umemuacha tunda mlikuwa mnaendana sana.ilo gumegume bayaaaaaa ...

Read More »