Video: Q-Boy kuhusu Dancer wa Justin Bieber kuucheza wimbo wake

Ni Q Boy Msafi ambae alianza kuzimiliki headlines baada ya kutoa hit single ‘Mugacherere’ aliyomshirikisha Shetta na Rayvanny, sasa staa huyo alirudi tena kwenye vichwa vya habari ikiwemo ya kuondoka kwenye label ya WCB pamoja na Dancer wa Justin Bieber kupost kazi yake mpya ‘Karorero’.