Home Music Promotion

Music Promotion

How To Promote Your Music

DarTalk Media specializes in Music Promotion and Online Artist Publicity.

At DarTalk Media, we are committed to promoting promising upcoming artists. We see a need to give young talents who aim to have a life in the music industry a platform to get their songs heard.

For Music submission please email info@dartalk.com

BENEFIT YOU GET FOR PROMOTING YOUR MUSIC WITH DARTALK.COM

1.Your music will be featured on our platform as sticky post and will appear in some other top sites.

2.Thanks to our user friendly single click download feature

3.By using our like, tweet and share button you can inform others about your music release

4. Your Music Will Be Available To Our Daily Regular Visitors

5. Your Music Will Appear On Search Engines i.e Google, Bing, Yahoo, Ask, Yandex

6. Your Music Will Have Your Artist Phone Number, Email, And Twitter Handle In Order For Sponsors And Top Musician To Contact You for Bookings

8.Your Music Will Be Shared On Our Social Media Pages + Facebook Fan Pages (41000+ fans), Twitter Followers

WANT TO PROMOTE YOUR MUSIC /ARTIST ON DARTALK SITE?

If your in Tanzania our little token is Tsh 20,000/= or $30 for the other countries.

HOW TO PAY

For Tanzania: +255767812813 Vodacom M-PESA

For Other Country: You can pay through Bank Wire Transfer, MoneyGram or WESTERN UNION.

After making payment send us below information

  • Artist stage name
  • Track title and name of any one featured
  • Artist song Art (song cover photo)
  • Clean mp3 file or Download link
  • Facebook ID ,Twitter ,Instagram and Phone Number

Via our email info@dartalk.com or call +255767812813 (Our preferred communication languages English & Swahili)

ZIJUE FAIDA ZA KUWEKA WIMBO WAKO DARTALK.COM

(i) Mtembeleaji wa site yetu ataweza Kudownload Wimbo wako kwa urahisi Zaidi kwa Kubofya Mara Moja tu. Download Zetu hazina Mlolongo Mrefu Kama Wengine.

(ii) Wimbo wako utaonekana kwa Watembeleaji wengi na Utakaa Kwa Muda Mrefu Zaidi pindi website yetu itakapoendelea kuwa Hewani.

(iii) DARTALK MEDIA ina sehemu ya Kushare/Kusambazia Muziki wako kama Facebook , Twitter na Mitandao mingine ya kijamii ambayo unaweza kutumia kwa Kuwasambazia Marafiki Zako.

(iv) Wimbo wako utaonekana Pia Kwenye Mitandao yote ya Kutafutia Vitu Mbalimbali kama Google , Bing, Ask , Yahoo na Mitandao mingine inayotumika Katika Utafutaji Vitu Mtandaoni.

(V) Pia Wimbo wako Utaonekana Katika Ukurasa Wetu wa Facebook ambao Una Zaidi ya Watu 41000 elfu.

KUJITANGAZA NASI FUATA MAELEZO YAFUATAYO.

1: Tuma Wimbo ukiambatanisha Picha (Cover photo) ya Msanii Kupitia Njia Zifuatazo; Zingatia Tuma Picha ambayo tayari imetengenezwa kwa Ubora Zaidi.

(i) Email: info@dartalk.com
(ii) WhatsApp 0673 23 97 23

Kumbuka Kuandika Jina la Msanii na jina la Wimbo pia.

2: Pia Wewe kama Msanii Utaweza Kulipia Tsh. 15000/= (Elfu kumi na Tano tu) kwa Audio moja. Na kama ni Audio + Video utalipia Tsh. 25000/= (Elfu Ishirini na Tano tu) na Kwa Video Peke yake ni Tsh. 20000/= (Elfu Ishirini tu)

3: Njia Za Malipo:

(i) M-PESA: 0767 812 813

(ii) Kama upo Nje ya Tanzania Tafadhali Lipia Kupitia WESTERN UNION.

Baada ya Kufanya Hivyo Vyote Hapo Juu Piga simu au Tutumie Ujumbe Mfupi Kupitia ) Email: info@dartalk.com

WIMBO WAKO UTAKUWA TAYARI KWENYE WEBSITE YETU NDANI YA MASAA 24.